LilOmmyTV
LilOmmyTV
  • 1 395
  • 51 202 302

Відео

Meena Ally Asimulia jinsi alivyopima UKIMWI, Ilikua hivi! Part 3
Переглядів 3,1 тис.21 годину тому
Meena Ally aongelea experience yake ya kujipima Ukimwi na ujumbe wake kwa vijana wengi ambao wanarukia mambo mengi kila dakika! Aanzisha challenge maalum kwa watu wake wa karibu! Tazama full interview, Part 3 #Sitetereki #Podcast #LilOmmy
Meena Ally Afunguka Kuondoka CLOUDS kwenda Wasafi au Crown Media? B Dozen, Mchomvu na Fetty Part 2
Переглядів 11 тис.21 годину тому
Meena Ally ameongea ushindani mpya uliokuwepo kwenye Media na mpango wa kuhamia media zingine (Wasafi au Crown) Aongelea pia kuwa miss watangazaji wenzake B Dozen na Adam Mchomvu! Tazama full interview, Part 2 Subscribe, Like, Comment & Share #Sitetereki #Podcast #LilOmmy
Meena Ally - Sitaki Mtoto wangu aje kuishi Maisha Niliopitia Mimi, Nililala Nje Usiku kucha! Part 1
Переглядів 8 тис.21 годину тому
Meena Ally asimulia maisha yake halisi aliyoishi kabla ya kuwa maarufu na mambo ambayo wengi hawajui kuhusu yeye! Aongelea maisha ambayo hatopenda mtoto wake aje kuishi! #Sitetereki #Podcast #LilOmmy
Lilian Lema atoa Darasa kwa Wanaume mambo ya kumfanyia mwanamke aridhike. (Part 3)
Переглядів 1,2 тис.День тому
Kwa mujibu wa Lilian Lema, mwana dada ambaye ameonekana akishauri watu kuhusu mahusiano na mapenzi ametoa darasa kwa wanaume na wanawake, Mambo ya kufanya na kuzingatia. Part 3 Subscribe, Like, Comment & Share!
Lilian Lema Afunguka Sababu za wapenzi kuchepuka sana / Atoa ushauri nini cha kufunya. Part 2
Переглядів 1,8 тис.14 днів тому
Lilian Lema aongela mambo yanayoleta shida kwenye mahusiano na namna ya kuvuka! Tazama full interview Part 2 Subscribe, Like, Comment & Share
Lilian Lema Afunguka Kuhusika katika Connection na Aslay, Mama yake Mzazi alivojisikia! Part 1
Переглядів 10 тис.14 днів тому
Lilian Lema afunguka ishu ya Connection yake na Aslay! Aelezea ilivyotokea hadi Kanisani kwao
Jux na Ommy Dimpoz Hawaongei? #Jux #Karen #OmmyDimpoz
Переглядів 2,2 тис.2 місяці тому
Jux na Ommy Dimpoz Hawaongei? #Jux #Karen #OmmyDimpoz
Jux Afunguka kukosa Mtoto na Ex zake wote, Jackie, Vanessa Mdee wala Karen! Part 5
Переглядів 14 тис.2 місяці тому
Swala la Jux kupata mtoto limekua stori kubwa pia kwa Msanii wa RNB Jux African Boy, katika interview hii, Jux amemaliza utata wa swali la kwanini hakuwa kupata mtoto na Ex zake wote, Jackie, Vanessa Mdee wala Karen! Tazama full interview ya Jux hapa Subscribe, Like, Comment & Share
Jux Afunguka kuhusu Kupata Mtoto, Ndoa na Karen! Part 4
Переглядів 12 тис.2 місяці тому
Jux afunguka kuhusu Ndoa na kupata mtoto! Hii ni moment ambayo Jux kafunguka sana! Tazama Part 4, angalia Part 1,2 na 3 Subscribe, Like, Comment & Share!
Jux ataja Sifa 5 za Karen, 'Tumekaa miaka miwili' Aongelea kupata mpenzi mpya? Part 3
Переглядів 19 тис.2 місяці тому
Mkali wa R&B Jux azitaja sifa 5 za aliyekua mpenzi wake Karen Bujulu na muda waliokaa nae kwenye mahusiano! Ajibu swali kama kishapata mpenzi mpya tayari? Part 3 Subscribe, Like, Comment & Share! #Podcast #LilOmmyTV #Jux
Jux Afunguka Picha za Utupu kwa Mange, Kuachana na Mpenzi wake Karen, Ommy Dimpoz ndo chanzo? Part 2
Переглядів 25 тис.2 місяці тому
Jux afunguka kuachana na Mpenzi wake Karen Bujulu na Tetesi za Ommy Dimpoz kuhusika kuvunja mahusiano yao! Pia aongelea picha za utupu zilizodaiwa ni zake ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii. Part 2 Subscribe, Like, Comment & Share!
Jux Afunguka BEEF la MARIO na ALIKIBA, Mi na Diamond Hatuongelei watu! Part 1
Переглядів 59 тис.2 місяці тому
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wa Enjoy, Jux afunguka maneno ya kudaiwa ana BEEF na Mario, Agusia Beef la Diamond na Alikiba lilivyochangamsha Game! Part 1
Ukweli kuhusu forex trading | Amrisaly alivyobadili maisha kupitia biashara hii #Forex
Переглядів 39 тис.3 місяці тому
Amri IFX, kijana wa Kitanzania aliyebadilisha maisha yake kupitia HELA za Mtandaoni, AFUNGUKA jinsi alivyoanza hadi kufanikiwa! #Forex #CreptoCurrency #Money #podcast Tazama full interview hapa uweze kujifunza mambo kibao ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni! Subscribe, Like, Comment & Share!
Abdukiba amtaja Valentine wake na matumizi yake ya Condom!
Переглядів 1,5 тис.3 місяці тому
Abdukiba amtaja Valentine wake na matumizi yake ya Condom!
Abdukiba: Zuchu mtaamu sana, Napenda anavofanya! Nilitaka kum-hug Diamond akakataa! Part 3
Переглядів 8 тис.3 місяці тому
Abdukiba: Zuchu mtaamu sana, Napenda anavofanya! Nilitaka kum-hug Diamond akakataa! Part 3
Abdukiba Afunguka kukutana na Diamond Platnumz Nyumbani kwake na Ku-Party pamoja - Part 2
Переглядів 21 тис.4 місяці тому
Abdukiba Afunguka kukutana na Diamond Platnumz Nyumbani kwake na Ku-Party pamoja - Part 2
Abdukiba Afunguka kuhusu MACHAWA, Nandy na Tuzo za Grammy Davido kukosa Tuzo - Part 1
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
Abdukiba Afunguka kuhusu MACHAWA, Nandy na Tuzo za Grammy Davido kukosa Tuzo - Part 1
Yammi: Sijawahi kufanya Mapenzi! Sijawahi kuwa kwenye Mapenzi, 'Sina My Man' Part 3
Переглядів 8 тис.4 місяці тому
Yammi: Sijawahi kufanya Mapenzi! Sijawahi kuwa kwenye Mapenzi, 'Sina My Man' Part 3
Yammi Afunguka kuhusu Tumbo lake, KITOVU, Kiuno chake na idadi ya Shanga alivokua nazo' Part 2
Переглядів 34 тис.4 місяці тому
Yammi Afunguka kuhusu Tumbo lake, KITOVU, Kiuno chake na idadi ya Shanga alivokua nazo' Part 2
Yammi Afunguka Zuchu na Nandy walivyokutana Studio pamoja, Nilimbembeleza sana Romy Jons Part 1
Переглядів 26 тис.4 місяці тому
Yammi Afunguka Zuchu na Nandy walivyokutana Studio pamoja, Nilimbembeleza sana Romy Jons Part 1
Issa Azam: Omari Bakhresa siji tena kwako, Kula Ugali wako lala! Part 4
Переглядів 9054 місяці тому
Issa Azam: Omari Bakhresa siji tena kwako, Kula Ugali wako lala! Part 4
Issa Azam amtaja Alikiba na Harmonize katika wasanii anaowasikiliza sana akiwa China! Part 3
Переглядів 3 тис.4 місяці тому
Issa Azam amtaja Alikiba na Harmonize katika wasanii anaowasikiliza sana akiwa China! Part 3
Issa Azam alishangaa alichofanyiwa na Diamond Platnumz, Beef ya Alikiba, Harmonize! Rayvanny! Part 2
Переглядів 9 тис.4 місяці тому
Issa Azam alishangaa alichofanyiwa na Diamond Platnumz, Beef ya Alikiba, Harmonize! Rayvanny! Part 2
Issa Azam Afunguka mengi kuhusu UCHAWI, alivyomshangaza Rais Mstaafu Jakaya Ikulu! Part 1
Переглядів 2,6 тис.4 місяці тому
Issa Azam Afunguka mengi kuhusu UCHAWI, alivyomshangaza Rais Mstaafu Jakaya Ikulu! Part 1
Tessy Chocolate Afunguka tetesi za Kutoka kimapenzi na Producer S2kizzy 'Zombie' Part 2
Переглядів 3,9 тис.4 місяці тому
Tessy Chocolate Afunguka tetesi za Kutoka kimapenzi na Producer S2kizzy 'Zombie' Part 2
Tessy Chocolate: Napenda Mapenzi, Aslay, Hatujarudiana! Ni Support tu! Part 1
Переглядів 5 тис.4 місяці тому
Tessy Chocolate: Napenda Mapenzi, Aslay, Hatujarudiana! Ni Support tu! Part 1
Nai : Diamond, Huwezi kuning'oa kirahisi ivo, Utafanya sana kazi!
Переглядів 49 тис.5 місяців тому
Nai : Diamond, Huwezi kuning'oa kirahisi ivo, Utafanya sana kazi!
Nai : Siwezi Kumgombani Vunja Bei na Amber Lulu, Rayvanny na Fahyma ni Mke na Mume! Part 1
Переглядів 7 тис.5 місяців тому
Nai : Siwezi Kumgombani Vunja Bei na Amber Lulu, Rayvanny na Fahyma ni Mke na Mume! Part 1
DC WA INSTA MWIJAKU LEO SAA 3 USIKU, Usikose! Turn ON Notifications 🔥🔥🔥🔥
Переглядів 2925 місяців тому
DC WA INSTA MWIJAKU LEO SAA 3 USIKU, Usikose! Turn ON Notifications 🔥🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ

  • @user-cs4wh8ez7m
    @user-cs4wh8ez7m 5 годин тому

    Ni kweli kabisa, nowdays wanaume wachawi ni wengi sana na wengine ukiwakataa wanakuroga pia inasikitisha sana

  • @shabanishabani-le8pg
    @shabanishabani-le8pg 12 годин тому

    ❤❤❤

  • @mecktridalucas4356
    @mecktridalucas4356 12 годин тому

    Nanyonyesha haikaushi maziwa

  • @Goldstar27
    @Goldstar27 День тому

    Yammi ❤

  • @user-zf3oc1ek3p
    @user-zf3oc1ek3p День тому

    Dudu is dangerous

  • @user-qe2uq8mr5h
    @user-qe2uq8mr5h День тому

  • @Kiulaini
    @Kiulaini 2 дні тому

    Kwani Inakua lazima mahojiano kama haya mtu aongee kizungu ? Kiswahili chetu kinakua sana sahivi.. meena ally tunajua una talent na unajua English ila jivunie lugha yako… (you don’t have to prove to anyone that you can speak English) Nahisi English iko na sehemu yake utaitumia tu mda ukifika ila sehemu kama hizi na mahajiano hayo inabidi tujivunie na lugha yetu… Ni mtazamo tu

  • @ManigaDax-vr4ze
    @ManigaDax-vr4ze 3 дні тому

    Young Killer noma sana✌️🤜🤛

  • @SaidAlbahary
    @SaidAlbahary 3 дні тому

    Nitajifuzaje kujuwa forex

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 3 дні тому

    kama unaweza kuswali usiku baasi stara izingatiwe my sister Allah hafeez you

  • @SdSd-nk5lh
    @SdSd-nk5lh 4 дні тому

    I liked her u asking one question but she explain more than what you asked and ofcourse she didn't say no comment make wengi wao utawasikia no comment bravo 👏 keep coming up show them how they should talk ❤

  • @user-nf5zx3je1l
    @user-nf5zx3je1l 4 дні тому

    Dada anasauti nzuri sana ya kumtoa nyoka pangoni

  • @edwardboaz5572
    @edwardboaz5572 5 днів тому

    Rudi nyumbaniiiiiii haaaaaaa bonge la ngoma🔥🔥🔥🔥

  • @edwardboaz5572
    @edwardboaz5572 5 днів тому

    Nina picha nmepiga na hemed nkipostig wananisumbua wadada sana yan niwape no yake wakat mm mwenyewe sina😂

  • @ZakariaMachibula
    @ZakariaMachibula 5 днів тому

    Crown fm

  • @marleshjimmy1972
    @marleshjimmy1972 5 днів тому

    "Tazama vitu ginsi vilivyo apana ginsi unataka viwe "❤

  • @Brama_A37
    @Brama_A37 5 днів тому

    MBUZI njoo uone jinsi beat huwa zinafanywa na magenius

  • @luckynoah
    @luckynoah 6 днів тому

    African boy nakubali mwamba

  • @pearl3696
    @pearl3696 6 днів тому

    Not funny

  • @neydaman8838
    @neydaman8838 6 днів тому

    Its true every thing is Allaha's plan ويمكرون ويمكر الله والله خير الماكرين

  • @estherkeba9621
    @estherkeba9621 6 днів тому

    Speechless 🙌

  • @SwainMigos
    @SwainMigos 6 днів тому

    kila mtu na life style yake bnah yuko tu poa

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 7 днів тому

    Tz most wanted 🔥🔥

  • @christopherrimba2276
    @christopherrimba2276 7 днів тому

    Nice to Meena ali i like his principles

  • @Devilinintungwawc2vk
    @Devilinintungwawc2vk 7 днів тому

    Hahaha 🤣🤣🤣 Roma jamani tujuane vizuli hapa like hapa roma

  • @lovesallu5292
    @lovesallu5292 7 днів тому

  • @arafaomari1832
    @arafaomari1832 7 днів тому

    Mie napenda huyu dada❤❤

  • @mussambilinyi423
    @mussambilinyi423 7 днів тому

    Mcheshi sana huyu bint

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 7 днів тому

    Huyu dada ana akili saana ❤❤❤ intavew zake ni zinakuwaga zinamaneno mazuri saana mashaa allah na. Ndiyo maana zinatembea saana

  • @user-ll2dy8hd7x
    @user-ll2dy8hd7x 8 днів тому

    Kunajamaa anajita mbuzi juzi kati ameshindwa kufrestyle halafu bado mnamlinganisha young killer jaman

  • @user-ll2dy8hd7x
    @user-ll2dy8hd7x 8 днів тому

    Kuna mbuzi huko kashndwa freestyle

  • @user-pv6ih4nq5p
    @user-pv6ih4nq5p 8 днів тому

    Mwalimu

  • @raxensa4083
    @raxensa4083 8 днів тому

    Oya wazee apo kwenye dakika ya 5:9 Lil Ommy kasema Sugua ilitoka 2029 badala ya Elfu mbili kumi na tisa (2019)😂😂😂 dah

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 8 днів тому

    Wa zanzibar wana ongea kiswahili safii sana.

  • @barakasamwelijohn
    @barakasamwelijohn 8 днів тому

    Pumzika kwa amani Legacy yako bado inaishii #2024

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 8 днів тому

    Good job meena ally

  • @waltermfikwa4361
    @waltermfikwa4361 8 днів тому

    Mxiuuuuuu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 8 днів тому

    Nampendqa huyu dada jamani

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 8 днів тому

    Wow mie nakupenda snaa meena ally chukua maua yako dada

  • @mukrimmakame-jg8pv
    @mukrimmakame-jg8pv 9 днів тому

    Da meena una sauti ya hisia n ukweli kabisa mm nakuskilz san

  • @Roggy2711
    @Roggy2711 9 днів тому

    Very humble en wise🥰🥰big up Meena Ally!!!!!!

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 9 днів тому

    Nakupendaga sana dada❤❤❤❤

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 9 днів тому

    Nakupendaga sana dada❤❤❤❤

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 9 днів тому

    Mina ally kwenda Wasaf hamna labda Crown 👑

  • @calvinsande5116
    @calvinsande5116 9 днів тому

    Meena Ally your the best

  • @kingevarist6653
    @kingevarist6653 9 днів тому

    Aje crown media

  • @BIGBOY.127
    @BIGBOY.127 9 днів тому

    Duuh

  • @alvinmbugua9830
    @alvinmbugua9830 9 днів тому

    Napenda meena ali...sitetereki is always my fulltime show..congratulations team..watching from Nairobi kenya

  • @franksaid4286
    @franksaid4286 9 днів тому

    I like

  • @flinchclassic1531
    @flinchclassic1531 10 днів тому

    Kwaiyo harmo anapendwa juu ya pesa